Tanzania ni moja ya nchi duniani inayotumia mfumo wa uongozi wa demokrasia. Na mfumo huu ulianza haswa kuvuma miaka ya 1990 baada ya kurudishwa mfumo wa vyama baada ya miaka thelathini katika kipindi cha ukoloni lakini licha ya hivyo kwa sasa kumekuwa na malalamiko au tuhuma mbali mbali kutoka...
Katika kizazi cha Sasa hasa katika nchi za dunia ya tatu,neno elimu limekuwa likichukuliwa katika upande hasi kwa sababu ya kuwepo kwa wasomi wengi ambao wameweza kupata elimu lakini maisha yao yapo chini ukilingana na watu ambao hawana elimu.
Katika nchi hizi za dunia ya tatu au zinazoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.