Recent content by tutusi27

  1. tutusi27

    Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  2. tutusi27

    M PRO 15

    Wakubwa hizi simu za M horse 15 promax (M PROMO 15) mnazionaje ubora wake kwa mlioziona?
Back
Top Bottom