Recent content by tutuberti

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Kabisa....! Na iwe mwanzo na mwisho hata kufikiria tu kulingalisha Dar na Arusha. Heavy weight vs light weight? Masihara sana.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Watu wajinga kweli. Dawa unamkwepa tu na ujinga wake.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Ilishawahi kutokea? Una uthibitisho? Mtoa mada ameongea kwa kurejelea ajali iliyotokea.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Kwamba kumbe kuna watalii walalahoi pia?[emoji23] kwanza jamaa kasema yeye ni mtu wa Dar ila watu wa Dar washamba sana.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Mkuu amesema tukaangalie takwimu. Haya acha tukajiridhishe kisha turudi.!
Back
Top Bottom