Recent content by TUTASHINDA TENA

  1. T

    Mwenyekiti UVCCM Rombo aliyetuhumiwa kuwa na Uhusiano na Ben Saanane aongea na waandishi wa Habari

    Hivi sheria ya magazeti na mitandao ni kwa ajili ya watu fulani tu? habari ya tangu mwakajana magazeti ya Habari leo na Uhuru kwanini waje kurudia wiki hii?
  2. T

    Huyu Mwanasiasa Kijana wa Makao Makuu CHADEMA aliyetajwa kwenye tamko la CCM ni nani?

    Jana gazeti la serikali limeamua kuokoteza habari hii ya Mwaka mzima.Shame
  3. T

    Mwelekeo mpya: Kifo cha siasa za personality, kuibuka kwa siasa za masuala

    Kuna Waziri mmoja hapo juu amekasirishwa na Analysis yako
  4. T

    Abdul Kambaya: Vyombo vya Dola viwachunguze Ben Saanane, Ismail Jussa na Mtatiro

    Abdul Kambaya kasambaza ujumbe huu hapa chini "Nimeona mara nyingi Ben Saanane akimsakama Profesa Lipumba na hao ndio waliotengeneza Propaganda dhidi ya Profesa Lipumba kwenye mitandao ya kijamii ikadakwa na vyombo vingine vya habari akishirikiana na maswahiba wake wakuu Julius Mtatiro na...
  5. T

    Makundi ya Uchaguzi Rombo yaibuka kuelekea uchaguzi wa M/Kiti Halmashauri,ni Selasini na Ben Saanane

    Madiwani wawili wa chama cha demakrasia na maendeleo (Chadema), wanahojiwa na Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma zinazoangukia katika makosa ya jinai. Mmoja wa Madiwani hao kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, anahojiwa kwa tuhuma za kutishia kumuua kwa maneno, mbunge wa Jimbo hilo...
  6. T

    Pongezi kwa Evarist Silayo kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Rombo

    Vita ni kubwa na Selasini amekimbilia polisi
  7. T

    Pongezi kwa Evarist Silayo kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Rombo

    Mbunge anampiga vita na anafanya kila jitihada asipitishwe na vikao vya juu. Ben Saanane anamuunga Mkono Silayo.Selasini alimuunga Mkono mwingine.Ni vita kali na siasa za 2010
  8. T

    Mwenyekiti UVCCM Rombo aliyetuhumiwa kuwa na Uhusiano na Ben Saanane aongea na waandishi wa Habari

    Ila kusema kweli hawa jamaa Ben, Zitto,Mnyika wanawake watawaua.Ukijikkuta umeingia hadi huko CCM kama Zitto enzi za Chifupa ujue unaelekea kubaya
Back
Top Bottom