Recent content by Tupelo_lei

  1. T

    JamiiForums Tanzania KERO Coaster zinazotoa huduma Masasi - Tunduru zimekuwa kero kwa kusimama kila Kituo kama daladala

    Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa katika usafiri wa Costa (mini bus) kati ya Masasi na Tunduru, umbali wa takribani kilomita 195. Badala ya kutoa huduma ya safari ya masafa marefu, Costa nyingi husimama karibu kila eneo kama daladala, hali inayofanya safari inayopaswa kuchukua muda mfupi...
Back
Top Bottom