Recent content by Tunguli ya Rais

  1. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    naomba tuongee kwenye PM
  2. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Hmmmh, apo kumpata mwengine kibarua kipo, pengine kama alivosema turudie tiba kivingine na atawaita wataalamu wenziwe wasaidiane. Huenda tukatoboa au waonaje? Nazani ukinifatalia utaona nimeomba usaidizi siku nyingi hapa ila daah sikuwahi fanikiwa sehemu nyingi nilizoelekezwa ila nafuu nilipata...
  3. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Na upande wa babu atakuwa yupo sahihi kitiba? Sababu pia yeye alipoona hayo matukio kanambia nimelogwa na machawi ya waruka usiku pamoja na wa vitabu. Kwaio kasema tutarudia tiba hio ila kivingine Kwa mbinu nyengine akisaidiwa na wataalamu wenziwe. Afu kumbuka sehemu zingine nimewahi fata tibu...
  4. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Kwaio unapendekeza nirudie hio Tiba?
  5. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Habar za humu, namimi naombeni wajuzi mnifafanunulie yalonikumba nikiwa kwenye tiba, Asanteni. Iko hiv niliwahi kuenda tiba Kwa babu ya kufanyiwa pinduzi na kurudisha machawi na hasad. Cha kwanza nikiwa njiani karibia kufika kijijini kwa babu, haice niliopanda ilipata pancha kwenye rafrodi...
  6. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Yaani mlininyima konekshen ?, Unamfata mtu inbox anakuzingua tu. 😃lakini mm ni nani 🤔 Nilipanga safari Nikatua sumbawanga mzima mzima. Ngoja nitawaletea bonge la mirejesho.
  7. Tunguli ya Rais

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Dada Maya Angelou, naomba PM.
  8. Tunguli ya Rais

    Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Namm namtaka sangoma wa nyota, na mvuto wa biashara. Kinga pia itanifaa. Nipo morogoro ila naeza safiri nikielekezwa sehemu.
  9. Tunguli ya Rais

    Mtalaamu wa nyota

    This is birth chart and astrology. Thank you
  10. Tunguli ya Rais

    Mtalaamu wa nyota

    Njoo inbox
  11. Tunguli ya Rais

    Mtalaamu wa nyota

    Kinachokusumbua ni nn, fagia kwa
Back
Top Bottom