Ndugu zangu wa JF naomba mnisaidie hizi noti mbili zote zina sifa ya kuwa noti halali kwa malipo ya sh 500 tatizo zinaonekana kama zimetengenezwa na viwanda viwili tofauti nasema hivyo kwasababu mstari wa usalama kwenye noti moja umepita katikati ya 5 na 0 na noti ingine umepita juu ya 5 tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.