Hawa dawa yao ni kuwaletea vijana wa Mwamnyange ndiyo watafungu njia kwani wa Mwema wamechemka,hapa nina taarifa kijana mmoja wa Said wamebonda na saä amelazwa hospitali ya wilaya
Habari za kuaminika ni kwamba watu wanaojiita ni wakulima wa korosho wilayani Tandahimba wameweka vizuizi kwenye barabara zinazoingia na kutoka wilayani hapa hivyo kufanya wananchi wawe kama kisiwani,isitoshe katika kijiji kimoja cha Mihambwe wakulima hao wamewavamia walimu na waganga majumbani...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.