Recent content by Tumechoka

  1. T

    DOKEZO Mahakama Kuu mchunguzeni karani Yasin Muruko

    Mheshimiwa Jaji Kiongozi. Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi wewe kama kiongozi umuagalie kwa jicho la tatu, huyo karani yupo Mahakama Kuu ya Tanzania (Mwembeni)...
Back
Top Bottom