Recent content by tumain mathew

  1. T

    JamiiForums Tanzania msaada kwa hili

    nimeunganisha internet mpaka kwenye modem na kutoka kwenye modem kwenda kwenye server alafu baadaye ikatoka kwenye server kuja kwenye switch ila tatizo linakuja client anapata access ya database ila internet hapati. je nifanyaje
Back
Top Bottom