Recent content by Tulips

  1. T

    Nahitaji mume

    Habari wana JamiiForums! Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa mtu wa karibu maishani mwangu. Nina miaka 29, ni Mkristo, ninafanya kazi katika shirika binafsi na nina elimu ya Diploma. Nahitaji mwanaume. Awe mkristo, preferably RC, awe na shughuli inayomuingizia kipato...
Back
Top Bottom