Japo kuna baadhi hua hawako responsible na utunzaji wa mbwa. Ila wengi sasa hivi wanatunza mbwa vizuri kama mwana familia.
Imagine umenunua mbwa wako 300k - 500k akiwa puppy now amekua ndo umpoteze kizembe. Sizan kama utakubali.
Yote kwa yote tuendelee kupeana elimu tu, hopefully in the future...
Habari wa kuu, naomba kushea pamoja nanyi maarifa juu ya ugonjwa wa mbwa ambao hua haupewi kipaombele sana na wafugaji wengi. Lakini unaweza pelekea kupoteza maisha ya mbwa endapo hatua stahiki hazitachukuliwa.
Aidha nitakua nikitumia jukwaa hili kushea nanyi taarifa mbali mbali zinazo husu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.