Recent content by Tukusi Tinka Janjuzi

  1. T

    Mmomonyoko wa maadili tunaoushuhudia hivi sasa katika jamii na taifa kwa ujumla ni matokeo ya kukiuka asili yetu

    Mmomonyoko wa maadili tunaoushuhudia hivi sasa katika jamii na taifa kwa ujumla ni matokeo ya kukiuka asili yetu kama "WANA WA TANZANIA NA WAAFRIKA". Mfano, kwa wale wazaliwa wa miaka ya nyuma kulikuwa na unataratibu wa familia kushiriki mlo wa pamoja, huenda ikawa mchana au jioni, kukaa pamoja...
Back
Top Bottom