Recent content by Tsue'tey

  1. T

    JamiiForums Naomba ushauri

    Nina mpenzi wangu nampenda sana ila hatuishi kugombana kila kukicha tatizo ni kwamba kila ninachofanya anahisi namdharau na nimeshamwambia sana ukweli wangu lakini bado ni haelewi je nifanye nini jamani?
Back
Top Bottom