Habari wana jf. Ni matumaini yangu kila mmoja wetu anaendeleza harakati za kutengeneza maisha bora kwake na familia yake na taifa kwa ujumla.
Kwa takwimu zilizopo Tanzania ni moja ya nchi masikini duniani licha ya utajiri mkubwa tulionao wa rasilimali ikiwemo watu, madini, vivutio vya utalii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.