Recent content by True Richie255

  1. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ushauri wenu wakamaria... nichukue au nisikilizie
  2. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya wadau ivi KmC atakoswa goli kweli leo maana point yake tu rollover tosha kabisa... NB: Kwenye mechi 9 za mwisho za ligi kuu, yanga karuhusu goli 2 tu na amefungwa na azam tu.
  3. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tayari huko tushachukua hela zetu na faida....√√√
  4. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupia ka.dau kenye nyama nyama sasa....
  5. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Basi wazee asamehewe maana hajui alitendalo
  6. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kujua kama ni wa kweli au waongo ni hadi kupata mtu aliewahi kupata huduma zao.. Tuache ile nadharia ya wote ni waongo na matapeli. Hapo kama unaweza kununua upate ndo tutajua kama wakweli au matapeli.
  7. True Richie255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ni nzuri sana... Mechi 2 tu odds 5+
Back
Top Bottom