Recent content by tropic

  1. T

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    Challenge ya hii kitu ni kwamba hata kama tutaruka na assumption ya Mungu yupo, bado tunaweza kuuliza, "Je Mungu nae alitokea wapi?, au alifanyika vip?. Kitu ambacho ni sawa na je yeye binadam alitokea wapi endapo Mungu hayupo!.
  2. T

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Pale tunapoingia kwenye "infinite regress", hali inayozaliwa kwa kuweka assumption ya kwamba kila kitu kina mwanzo flan au kusababishwa na kitu flan kilichokitangulia kitu/jambo hilo.
  3. T

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Nadhani umefikia katika swali hili kwasababu tayari umesha-assume kwamba Mungu ndo aliumba ulimwengu. Je, vip tukianza na ulimwengu ulifanyika vip? Au tukiamua kutembea na swali lako lakin tukarudi nyuma hatua moja kabla, swali kubwa zaidi litakuwa, "Je yeye Mungu aliumbwa na nani? Au alitoka...
  4. T

    Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Reference za tulio wengi zinatoka kwenye kitabu kimoja au viwili (Bible and Quran). Kulazimisha kupata majibu kutoka ndani ya kitabu kimoja pekee ni sawa na mtoto anayezaliwa ndani ya kisanduku na hakufahamu kama kuna maisha au chochote nje ya kisanduku kile, kwa maana hiyo atakuwa anatatua...
Back
Top Bottom