Recent content by TRON1402

  1. T

    KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Same hawajalipwa fedha zao za kujikimu

    Ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya Same hadi leo hawajalipwa fedha zao za kujikimu, wengine wana mwaka, wengine wanakaribia mwaka lakini hakuna malipo ya fedha zao kujikimu na ni haki yao hata TAMISEMI walishaelekeza lakini bado waajiriwa wapya wananyimwa haki zao.
Back
Top Bottom