Recent content by Trojan Hors

  1. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Unga telegram hlf tutumie link inakuwa safe zaidi
  2. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hayo hayana shida kwenye math ndo mtiti wewe upo zone gani?
  3. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    😂😂😂ulikuwa na paper ww co bure
  4. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Oyaaa undeni group la telegram basi kama vip tupeane updates uko.
  5. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    🙃wazee kuna mtu kasema tuliefanya mapema wote tumefeli instructions zilisema saa 6.
  6. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Tungekua na Group Telegram au WhatsApp kwa tuliioomba Dec ingekuwa unyama huko tungepata info make inawezekana kuna wana ndugu zao ndani.
  7. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Kama kuna mtu anajua average score wanayochukua atusanue na pia kama umepita baada ya muda gani unaitwa?
  8. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hatujajua watachukua kuanzia ngapi aisee ngoja tusubiri then sijui ma simu wataanza kupiga lini au email zitahusika?
  9. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Inawezekana labda ila mimi tayari nishafanya maybe wanajua watu wata share info kufikia usiku.
  10. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ipo online mpaka saa 2 usiku ni muda wowote utakaopenda kufanya.
  11. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ni muda wowote utaopenda kujilipua kati ya saa 10:00 hadi saa 20:00 usiku hata muda huu unaweza kufanya.
  12. T

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ukisoma vizuri wanasema opening na closing ni kati ya saa 10:00 hadi saa 20:00
Back
Top Bottom