Recent content by TrioNeTwork

  1. T

    David Kafulila: Nilivyoruhusu ushindani wa Pamba Simiyu nikiwa RC bei ilipanda hadi Sh 2,200 kwa kilo ambayo haijafikiwa kwa zaidi ya miaka 30

    Serikali ina nafasi kubwa ya kuhakikisha ushindani wa haki unakuwepo katika sekta zote za uzalishaji na biashara. pamoja na kupunguza urasimu, Serikali inapaswa kuendelea kuboresha miundombinu, kurahisisha upatikanaji wa mitaji na kuimarisha mifumo ya huduma za kidijitali ili kuvutia wawekezaji...
  2. T

    VIDEO: Uchumi wa Africa unakua lakini Umasikini wa Watu wake Unapungua kwa kiasi kidogo | Ukuaji wa GDP Si Sawia na kushuka kwa Umasikini-Kafulila

    Afrika imeelekeza nguvu kwenye sekta ambazo hazina “multiplying effect” kubwa kwa uchumi na ustawi wa wananchi. Ngoja nikutajie baadhi ya Sababu Kuu, Sekta ya madini na mafuta: Huchangia sana kwenye GDP, lakini hazitoi ajira nyingi. Mapato yake hubaki kwa wachache na mara nyingi hutoka nje ya...
  3. T

    Shaka Hamdu Shaka: Kutoka Ndoto tu za Mwl Nyerere Mpaka Utekelezaji halisia wa Rais Samia, Tanzania inapaa na kila rekodi imevunjwa, Rais apongezwe

    BWAWA LA UMEME JNHPP- LINATIMIZA NDOTO YA NYERERE, NA NI MAFANIKIO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MWELEKEO MPYA WA UCHUMI. Ameandika Cde Shaka Hamdu Leo ni siku ya kihistoria, Siku ambayo vizazi vijavyo vitaisoma vitabuni. Siku ambayo Tanzania imeamua kujitegemea kweli kweli...
  4. T

    Wasomi wa TIDC: Mafunzo ya David Kafulila yawe mwongozo wa mipango na mikakati ya Taifa

    Wasalaam. Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mzungumzaji mkuu alikuwa David Zacharia Kafulila . Washiriki walieleza kuwa hotuba yake ilikuwa excellent, accurate, progressive, na yenye sifa zote za kitaaluma na kitaifa. Miongoni mwa...
Back
Top Bottom