Recent content by trigger468

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, niendelee kuweka pesa benki au niache, naomba ushauri wenu

    Lakini mbona kuna bank hazine makato kama hayo....au hazina makato kabisa. Hamia huko tu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tumeunda kikundi cha biashara lakini watu wengine hawatoi support

    Ni muda mrefu sasa tukiwa wanne ndani ya hit kazi....mtu mmoja tu ndiye anayeshughulika na mambo yote. Wengine wanakaa wakisubiri mambo yakae vizuri bila kuchangia kivyovyote na kusema bado ni wanachama wa kikundi hichi. Mimi naona kama hawapo serious na hawana malengo na hasira kama niliyonayo...
Back
Top Bottom