Recent content by Trigger147

  1. Trigger147

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Dogo janja unamishe gani town?,, Au ndo kula kulala kwa mjomba?/ Akupi mtu usukani,, Bila leseni ya karandinga/ Unata dala mbuni sumni,, Kwanza kibyongo pinda/ Uwezi kaa pembeni,, usiku uicheze sindimba/ Nataka nikupe connection,, Uache kuvaa mitumba/ Ninanunuaga million,, kila kilo moja ya...
  2. Trigger147

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Kwanza hiphop sio singeli, makelele ya kamatia juu Mi Mc sio tapeli,, sijinadi na cha mtu Sasa ushabaini ukweli,, acha kuwa panya buku Zaire frontline Mobutu Sese Seko Ngbendu Wa Za Banga Kuku.
  3. Trigger147

    RIWAYA: Tai kwenye mzoga

    Duh!
  4. Trigger147

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Unanifundisha nisnichi niwin bila ya jasho Wakati mwenyewe umefeli na mwalimu mkuu mamaako
Back
Top Bottom