Mtoa mada anabezwa lakini taarifa anayotoa ni nyeti na wahusika inabidi wafuatilie. Mtoa mada unaweza kuongeza nyama kwa kuongeza taarifa za ziada za Wilaya na Jimbo ili wahusika wakusaidie.
Japokuwa anatumia haki yake kikatiba lakini sasa tunaikosea heshima nafasi ya uwakilishi wa wananchi Bungeni . Haiwezekani kila mtu hata ambao hawana hekima za kutosha kuongoza jamii nao wanajiona wanafaa kuwa wabunge.
Ni haki yake kikatiba apewe nafasi. Jambo jema kwake ni kwamba, anagombe ubunge kupitia chama cha mapinduzi chama ambacho kinajipambanua kwa kutetea wanyonge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.