Recent content by Trevoo

  1. Trevoo

    HATAREE SANA: Bandeji Inayotumia Teknolojia ya 5G Yatengenezwa..Inauwezo wa Kutuma Taarifa za Maende

    Bandeji ambazo zinaweza kutambua jinsi kidonda kinavyopona na kutuma ujumbe kwa daktari itafanyiwa majaribio katika kipindi cha miezi 12 ijayo. Bandeji hizo zitatumia teknolojia ya 5G kufuatilia na kutambua ni matibabu ya aina gani yanahitajika kwa mgonjwa. Majaribio hayo yanafanywa na taasisi...
  2. Trevoo

    Maalim Seif avuliwa Ukatibu Mkuu CUF, Magdalena Sakaya apewa Ukatibu Mkuu

    Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) leo limemvua, Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu wa Chama hicho na nafasi hiyo kukaimiwa Bi. Magdalena Hamis Sakaya. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa CUF Taifa, anayetambulika na Msajili wa Vyama vya Siasa...
  3. Trevoo

    Kamati Kuu ya CHADEMA yafanya Uteuzi wa Wabunge wake wa Bunge la Afrika Mashariki

    Mwezi April Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania litaanza kwa vikao vya Bajeti ya mwaka fedha 2017/2018 ambapo wabunge watapitisha bajeti kuu ya serikali. Leo March 24 2017 CHADEMA kupitia Naibu Katibu mkuu wake ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kibamba, John Mnyika amezungumza na waandishi...
  4. Trevoo

    Msaada maumivu ya nyonga ninapokaribia hedhi

    pole sana dada angu, suluhisho la tatizo lako lipo kama utaamini na utakuwa tayari, kuna hiki kimiminika kinaitwa Trevo, kazi yake kubwa ni kuondoa sumu mwlilini na kujenga seli za mwili,hivyo basi kutokana na sumu hiyo iliyoingia ndani ya mwili wako baada ya kutumia madawa na pia tatizo...
Back
Top Bottom