Recent content by Trekta Bora

  1. Trekta Bora

    Trekta ya aina gani ni bora kwa mazingira ya Tanzania?

    Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
  2. Trekta Bora

    Trekta aina ya Mahindra

    Kila moja ni bora kwa aina yake, maana technolojia zilizotumika ni tofauti pia. Massey Ferguson zipo make za aina nyingi sana na make za nchi tofauti tofauti. Zinatofautiana ubora kati ya massey Ferguson ya UK na Pakistan n.k Spareparts za Massey Ferguson ni bei nafuu zaidi Mahindra ni trekta...
  3. Trekta Bora

    Trekta aina ya Mahindra

    Karibu Papaa Gx kwa maswali. Kama unahitaji kujua chochote kuhusu trekta za mahindra nitakujibu.
  4. Trekta Bora

    Trekta aina ya Mahindra

    Mahindra ni make ya india. By volume ni trekta inayoongoza kuuza duniani. Ina lifespan kubwa sana ukilinganisha na brands nyingine. Lifespan yake ni masaa 15000hrs
  5. Trekta Bora

    Trekta aina ya Mahindra

    Tupo Daresalaam, Arusha, Dodoma - Kibaigwa na Kahama. Kuhusu bei zipo aina nyingi kulingana na nguvu ya trekta Mfano. Hp 50 2wd bei ni 48.5m na jembe ni 9m
  6. Trekta Bora

    Trekta aina ya Mahindra

    Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania. Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
  7. Trekta Bora

    INAUZWA Wauzaji wa Matrekta

    Kila kifaa cha trekta (kama jembe, harrow, rotor) kina bei yake, bei elekezi nilizoandika hapo juu ni bei ya trekta pekee.
  8. Trekta Bora

    INAUZWA Wauzaji wa Matrekta

    Tractors hazina VAT mkuu, hizo bei ni pamoja na registration.
  9. Trekta Bora

    INAUZWA Wauzaji wa Matrekta

    Tunauza trekta aina ya Lovol, Lovol 754-75HP 4WD bei ni 53,000,000/= Tsh Lovol 504-50HP 4WD bei ni 39,000,000/= Tsh Trekta zetu ni imara, zenye nguvu na utumiaji wa mafuta mdogo. Mfano; HP 75 4WD inatumia wastani wa lita 5 kwa heka moja. Mfano 2; HP 50 4WD inatumia wastani wa lita 3 kwa heka...
Back
Top Bottom