Recent content by treetop5

  1. T

    Tushauriane juu ya Kilimo cha Almond (Lozi): Changamoto, faida na maeneo yanayofaa

    Kilimo chan Almonds kipo ktk mkoa wa Morogoro. Ni mmea mwepesi sana kuota na kukua, unahimili vyema mabadiliko ya hali ya hewa. Unahitaji hali ya hewa yenye mvua za kati na zaidi. Hukua kwa urefu sana, ila ktk ukulima wa kisasa ni muhimu kupunguza matawi. Tuwasiliane kwa ushauri zaidi. 0713370555
Back
Top Bottom