Recent content by Travellar jr

  1. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    😂😂😂, kwa sasa nadhani hata mm nitakuwa makini.... Maana sometimes sisi Wanaume tunakawaida ya kupuuzia mambo sana.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Ahsante ndugu yangu .
  3. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Bac itakuwa niliwaza tofauti, kutokana na matukio ninayoyajua.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Kwa kweli ni mungu tuu , peke angu nisingeweza .
  5. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Duh , kaka naona uliwahi kushtukia hilo jambo mapema, hawo washenzii wangenda hata kukutoa kafara. Maana wanajua ulikuwa auna Cha kuwapa.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Hpana , ndugu .
  7. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Kwa kwlei , nimejionea.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Duh !, ikawaje mh. Ujue Kuna watu wanachukulia poa haya mambo. Wewe ndugu naona kuuliza kwako kulikukusaidia kidgo .
  9. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Hhahah sawa kaka . Nikikua mwenyezimungu aniepushe nayo hiyo migumu uijuayo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Kweli kabisa , naona mungu alikuwa na Mimi changanya na nyuzii zenu za kutuelimisha watu huwa tunapata mwangaza wa mambo mbalimbali .
  11. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Kwa nn mkuu?, hii ni faida pia kwa wenye wadogo zao mavyuoni.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Hahaha ahsante kaka .
  13. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    Duh kumbe ndio wanafanya hivyo. Aisee kwa kwlei niliogopa nikawaza mengine maana mm sikuwa pesa ya kuwapa, nikajua labda ni chinja chinja maana huku Dom matukio hayo saivi yameshamirii.
Back
Top Bottom