Recent content by train rain

  1. T

    Ili kuanzisha app Tanzania unahitaji vibali kutoka TCRA?

    Kama app imefanikiwa ghafla. Unatakiwa uisajili kama kampuni ili uanze kulipia tax tra? Also tcra hawahusiki sindio?
  2. T

    Ili kuanzisha app Tanzania unahitaji vibali kutoka TCRA?

    Msaada tutani ni vibali vipi vinahitajika endapo mtu anataka ku launch app Tanzania? Utahitaji vibali vyovyote kutoka mamlaka nchini? Kwa ambao wamefanikiwa kupandisha app zao playstore/app store naomba ni pm tafadhali?
Back
Top Bottom