Mwezi wa nane kinaumana vijana tafuteni connection muda bado unaruhusu leo nikiwa kwenye daladala naenda kariakoo kuna mama mmoja alikuwa anakngea na mtoto wake kweny simu anamwambia aanze kujiandaa yeye jina lake tayari lipo kwahyo wakitangaza kuita usahil yeye anaondoka moja kwa moja DODOMA...
NYAMAZA🤐🤐🤐
1. UMEPATA PROMOTION KAZINI?
Nyamaza kwanza na umshukuru Mungu chumbani pamoja na waliosimama nawe.
2. UMEPATA MCHUMBA?
Nyamaza huku mkiendelea na mipango yenu kimya kimya....
3. UMEPATA SAFARI?
Nyamaza kimya tulia utawasimulia ukisharudi au ukishafika huko.
4. UNAJENGA NYUMBA...
😂😂 afu sasa me bado sijawahi kufanya maombi ya majeshi hata moja hata nikitaka kuingia sifanyi application sema tu muda bado kuna mambo yangu nafanya ningekuonyesha kwamba kuingia chmboni sio kazi ngumu....sema nimeshakuelewa na jamaa wako wa ikuru..😂😂sio ikulu
😂😂😂 mwanangu Bachelor ll Nakukubali sana endelea kupiga debe mwanang utapata tu watu...,ila mimi sio wa hivo na sina haraka na kuingia chomboni ila ntaingia tu ndio kwanza nmefikisha miaka 20 juzi tarehe 08/04..... kwahyo muda bado sana siwazi saivi nasimamia biashara za mshua uhakika wa...
We pambana na jamaa yako wa ikuru tu ila tushakushtukia kitambo sana mkuu ila we hujishtukii bado🤣🤣.......watu washakwambia hujui kitu bora utulie tu....kwani kuna ulazima wa kuandika humu mbna wengine wamekaa kimya....unataka uingize watu mkenge wakitafte uwapige hela trust me hakuna connection...
we jamaa nshatambua una utoto mwingi sana unaleta masihara kwenye vitu vya serious kabisa haya ni maisha ya watu watu wanafight....we unatuletea porojo zako hapa....kwana humu ndani we peke yako ndio una connection ya uhakika.....au ulishaona nani humu ndani anahangaika kila kukicha kuipromo...
UZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za...
We si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..😂😂😂😂 et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.