Bila-shaka hakuna swali lisilo na jibu japokuwa kila jibu litolewalo si lazima liwe sahihi. Waulize swali moja wanafunzi wa chekeachea, shule ya msingi, sekondari na vyuo kwa nini unasoma shule?
Majibu mengi yaliyotolewa yalikuwa majibu ya kunakili kutoka kwa wazazi au walezi wa hao watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.