Wale ambao sijawajibu Pm wasihisi kuwa nawadharau .ila mpaka sasa kuna massage zaidi ya 40 za watu tofautitofauti sasa napata wakati mgum kuzijibu zote . Hivyo wawe na subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa bado sijaelewana na mtu japo pm wapo wengii ila kuna kitu nataka uelewe ni kuwa.
Mimi bado inatakiwa niendelee kusoma kwani matokea yangu ya kidato cha nne ni mazuri . Na baba alinizuia nisiendelee mpaka nitakapoolewa kwani kusoma vyuo hivi ambavyo watu wapo huru ni mtihan. Hivyo...
Kuna baadhi ya watu wanaendelea kuhofu ila mimi niwaambie yafuatayo.
= kama ikitokea ukaombwa hata mia basi jua mimi ni muongo na nitapeli.
= kama ikitokea nikakwambia tukutane eneo tofauti na nyumbani kwetu ujue mi muongo na nitapeli.
Kwa ufupi ni kuwa tukikubaliana sitahitaji namba yako wala...
Nilijiunga Jf mwakajana baada ya kumaliza kidato cha nne ila nilichogundua wasichana wanasumbuliwa saana humu . Nilikuwa nikimuangalia Faiza foxy ambae alisumbuliwa pamoja na kuwa ni mwanamke anaejiheshim mpaka akaanzisha uzi wa kuwa wanaotaka kumtongoza wamtongoze hadharani . Nikijiangalia mimi...
Labda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.
Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na...
Itakuchukua muda kuelewa ukweli . Embu jaribu kufuatilia message zangu ukiwa unafikiria utagundua sehem kubwa nikama natania na sipo serious .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakujibu usijal japo najua watu ambao ni wabaya hawaamin wanakaa kuwaza vitu vya kijinga.Nidanganye kwa manufaa ya nani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna utapelii . Huenda unadhani labda kunatapeli. Nikuhakikishie kuwa hautaombwa hata mia mbovu we kama uko serious kariib
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez...
Katika sheria ya dini yangu ya kiislam mwanamke hatakiwi kukaa faragha na mwanamume ispokuwa awepo mtu mwingine ambae ni mahariim yaan haruhusiwi kumuoa . Ndio maana nikasema ni lazima niwe na kaka ili usijenishawishi ujinga .
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijazaa na sijawahi kuwa na mwanamume katika mahusiano .
Kuhusu umri nadhani ushafikia nahofia nikizidi kukaa bila kuolewa nitazinii
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.