Habari wanaJf wote.
Mimi ni mgeni humu. Ninaomba msaada wa ushauri wa kitabibu hata kimawazo tuu kwa tatizo hili linalomkabili ndugu yangu wa karibu jinsia ME
Yapata wiki ya 2 sasa alianza kusikia maumivu ya kiuno hakuhisi ni shida kubwa hivyo akaendelea na mishe mishe zake. Wiki hii hali...
Kuna ugonjwa wa Polio. Nao unazuiwa na chanjo hizo. Muepushe mtoto wako na ulemavu. Kuna ya homa ya ini pia katika hizo chanjo.
Nakubali ni sindano kali na zinampa mtoto homa ila zinamkinga na magonjwa mazito.
Nashauri omba ushauri kwa wazaz wako kama wapo au umwambie mkeo anafahamu umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.