jaman huku shinyanga nimekuta kuna NGO inaitwa light dream org(lido) imetangaza ajira 260 wasim
amiz wa wilaya,kata,wa mitaa tu wanaitajika 200.fomu wanasema ni bure lkn ukifika fomu imeandikwa inaitajika 2000 ya usajil na 4000 ya kitambulisho jaman kunamtu anaijua hii NGO na shart ulipe pesa...
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye habar kuhusu serenget brew,mwanza kwan kuna watu tulifanya interview department ya stores and engineering tuliopita tukapewa stakabadh zote mpaka medical checkup tukaenda.kisha tuliambiwa tusubir kusing contract tu imepita miez zaid ya mi nne kimya.kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.