Recent content by totobad

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Asantee sana kaka mkubwa nitajitahidi kufata ulivyo nielekeza asante sana
  2. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Well, mfano asubuhi hupenda kula chai chapati/mandazi/vitumbua mchana ugari samaki japo siwapendelei sana most hua napenda dagaa na mboga za majani pia usiku mala nyingi hula wali japo hua malanyingi hua sipendelei kula usiku
  3. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Urefu wangu ni fut 5 na nch 8 mkuu uzito ni kilo 52
  4. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    hongera yako mimi natamani sana kua na mwili aisee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Hahahah!!! Mimi ni kijana wa kiume
  6. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Ndio hivyo mkuu natamani niwe na mwili kidogo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Sawa acha nijaribu japo Hata mazoezi hua sifanyi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Kama kichwa kinavyo jieleza, Natafuta msaada jinsi ya kuongeza mwili pamoja na uzito maana kila siku nazidi kukonda pia kupungua uzito ili hali nakula kama kawaida na siumwi chochote. Msaada tafadhari.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Fiesta Ina hali mbaya

    Umeeleza vizuri sana Nedago,
  10. T

    JamiiForums Tanzania Diamond awapa tuzo Wizkid na Tiwa Savage

Back
Top Bottom