Manufacture bameweka betrii yenye uwezo huo,huenda mtu akaichaji maramoja kwa wiki au kwa mwezi kutokana na matumizi yake.
NI KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI sio saluni
Kabla ya Kumuuzia mtu huwa nina mpa maelekezo yote ndio maana hata kwenye tangazo imeandika "KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI" na betrii ikiwa full uwezo wake wa kufanya kazi ni dakika 40 mpaka 45.
Imani yangu ni kuwa haukusoma maelekezo ya mashine hiyo au haukupewa taarifa sahihi na aliyekuuzia...
UMESOMA MANUAL YA HIYO MASHINE?
KITU KIMOJA NI KUWA WATU WENGI HUWA HAWASOMI MAELEKEZO
Mashine hii ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Na uwezo wa betrii yake kuwaka mfululizo ni kati ya dakika 40 hadi 45.
Kama uliambiwa hii ni mashine ya kutumia saluni pole haukupewa maelekezo sahihi.
Betrii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.