JIPATIE MASHINE YA KUNYOLEA KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO

T

TOPH5

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
10
Points
45
T

TOPH5

Member
Joined Aug 9, 2019
10 45
Ni Original zina warranty ya mwaka mmoja,niambie ulipo nikuletee ujiridhishe.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
115,731
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
115,731 2,000
Hizo mashine original kweli au ni fake
Ni Original zina warranty ya mwaka mmoja,niambie ulipo nikuletee ujiridhishe.
Hizi Mashine zimeshaharibiwa soko lake na wale wa promotion... Sio mashine imara na haziwezi kuhimili dakika 50 zikiwa na nguvu ileile
Nakushauri badili NOVA zitakugombanisha na watu uishie kuitwa tapeli..
My apology kama nimekukwaza
 
Granted Peter

Granted Peter

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2015
Messages
1,554
Points
2,000
Granted Peter

Granted Peter

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2015
1,554 2,000
Hizi Mashine zimeshaharibiwa soko lake na wale wa promotion... Sio mashine imara na haziwezi kuhimili dakika 50 zikiwa na nguvu ileile
Nakushauri badili NOVA zitakugombanisha na watu uishie kuitwa tapeli..
My apology kama nimekukwaza
Reply hii imenifanya nirudishe hatua moja nyuma
 
T

TOPH5

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
10
Points
45
T

TOPH5

Member
Joined Aug 9, 2019
10 45
Hizi Mashine zimeshaharibiwa soko lake na wale wa promotion... Sio mashine imara na haziwezi kuhimili dakika 50 zikiwa na nguvu ileile
Nakushauri badili NOVA zitakugombanisha na watu uishie kuitwa tapeli..
My apology kama nimekukwaza
UMESOMA MANUAL YA HIYO MASHINE?
KITU KIMOJA NI KUWA WATU WENGI HUWA HAWASOMI MAELEKEZO
Mashine hii ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Na uwezo wa betrii yake kuwaka mfululizo ni kati ya dakika 40 hadi 45.
Kama uliambiwa hii ni mashine ya kutumia saluni pole haukupewa maelekezo sahihi.
Betrii ya mashine hii ni rechergeable na uwezo wake ni 1.2V na 600mah.
Ushauri kama unataka uitumie kwa muda zaidi ya dakika 45 nakushauri badili betrii.
Tafuta betrii angalau yenye ukubwa wa 1000mah.
HEBU SOMA MANUAL YA MASHINE HALAFU ULETE MREJESHO.
HATUBABAISHI NINGEWEKA ZAIDI ILA NIMEZINGATIA SHERIA ZA JAMIIFORUM
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
115,731
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
115,731 2,000
UMESOMA MANUAL YA HIYO MASHINE?
KITU KIMOJA NI KUWA WATU WENGI HUWA HAWASOMI MAELEKEZO
Mashine hii ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Na uwezo wa betrii yake kuwaka mfululizo ni kati ya dakika 40 hadi 45.
Kama uliambiwa hii ni mashine ya kutumia saluni pole haukupewa maelekezo sahihi.
Betrii ya mashine hii ni rechergeable na uwezo wake ni 1.2V na 600mah.
Ushauri kama unataka uitumie kwa muda zaidi ya dakika 45 nakushauri badili betrii.
Tafuta betrii angalau yenye ukubwa wa 1000mah.
HEBU SOMA MANUAL YA MASHINE HALAFU ULETE MREJESHO.
HATUBABAISHI NINGEWEKA ZAIDI ILA NIMEZINGATIA SHERIA ZA JAMIIFORUM
Nilimalizia kwa kuomba radhi na nilitoa ushauri ambao ukiuzingatia unaweza kukufaa... Sipo kwa ajili ya kuharibu biashara yako lakini nimeandika ninachofahamu
 
T

TOPH5

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
10
Points
45
T

TOPH5

Member
Joined Aug 9, 2019
10 45
Nilimalizia kwa kuomba radhi na nilitoa ushauri ambao ukiuzingatia unaweza kukufaa... Sipo kwa ajili ya kuharibu biashara yako lakini nimeandika ninachofahamu
Kabla ya Kumuuzia mtu huwa nina mpa maelekezo yote ndio maana hata kwenye tangazo imeandika "KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI" na betrii ikiwa full uwezo wake wa kufanya kazi ni dakika 40 mpaka 45.
Imani yangu ni kuwa haukusoma maelekezo ya mashine hiyo au haukupewa taarifa sahihi na aliyekuuzia.
Hapa hakuna ubabaishaji
 
T

TOPH5

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
10
Points
45
T

TOPH5

Member
Joined Aug 9, 2019
10 45
Kwani kuna mtu ananyoa ndevu kwa zaidi ya dakika 45?
Manufacture bameweka betrii yenye uwezo huo,huenda mtu akaichaji maramoja kwa wiki au kwa mwezi kutokana na matumizi yake.
NI KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI sio saluni
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
29,863
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
29,863 2,000
Ahsante kwa taarifa...

Cc: mahondaw
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
115,731
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
115,731 2,000
Kabla ya Kumuuzia mtu huwa nina mpa maelekezo yote ndio maana hata kwenye tangazo imeandika "KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI" na betrii ikiwa full uwezo wake wa kufanya kazi ni dakika 40 mpaka 45.
Imani yangu ni kuwa haukusoma maelekezo ya mashine hiyo au haukupewa taarifa sahihi na aliyekuuzia.
Hapa hakuna ubabaishaji
Ndugu yangu mimi sio mshamba wa hizi mashine na situmii saluni.... Na mashine ya kwanza kutumia ilikuwa Sony way back 2003...
 
Forum statistics

Threads 1,324,579
Members 508,741
Posts 32,166,810
Top