Na hili litabaki kuwa funzo kwa serikali ya CCM kama wanasikia au wamo hmu JF wajue kabisa watanzania wamechoka ubabaishaji wao hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kila kukicha kila kitu na kibovu kisa watu wachache wanatukost wote....hongereni Chadema mapambano bado yanaendelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.