Jina: Tony Jonas
Miaka: 26
Kabila: mhaya
Elimu: Diploma, Engineer machenic (bado sijaajiliwa
Kazi kwa sasa (fani nyingine ya kipato); Naendesha magar pia mda wa ziada naendesha boda
Dini: mkristo
Makazi: Dar es salaam
Kimo: maji ya kunde, murefu, mwembamba
Dhumuni kuu; naitaji kumupata mchumba...