Recent content by tonono

  1. T

    JamiiForums Tanzania Alteza inauzwa

    KM 60,000. kama una whatsapp nipe nikutumie picha
  2. T

    JamiiForums Tanzania Alteza inauzwa

    KM 60000 nipe namba ya whatsapp nikurushie picha
  3. T

    JamiiForums Tanzania Alteza inauzwa

    Cc 1998, year 2002, ina namba C kwa Millioni 10
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Private secondary ndio waweza
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Fekon ni 1,700,000 jumlisha asilimia 15 ni 1,955,000 ukitoa deposit ya laki tano balance ina baki 1,455,000 ambayo unatakiwa kulipa ndani ya miezi 24
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Una matatizo kama unataka maelezo zaidi kuna namba ya unaweza kupiga
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Nipe namba yako nikueleweshe mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    makato yanategemea na aina ya mkopo unakayochukua
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    tunapatikana Dar es Salaam ila hata kama upo Mkoani unafaidika na mkopo huu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Makato ni asilimia 15 mpaka 20... malipo utachangua ww utalipa kwa njia gani.. tupo Dar es salaam
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Namba ya simu 0784246392
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Wana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea. Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo 1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi 2. Barua kutoka kwa muajiri wake kuonesha anafanya kazi sehemu husika 3. Barua ya serikali ya Mtaa 4. Na deposit...
Back
Top Bottom