Recent content by Tonga tonga

  1. T

    Hali ilivyo nchini Somalia

    Zanzibar haina tofauti na somalia,isipokuwa hapa kuna amani 1. Barabara ni mbovu,miundo mbinu ya barabara haifai 2. Miji ni michafu sana 3. Wakazi wengi ni masikini wanaishi zile nyumba za kizamani choo kimoja watu 20 4. Watu hawana uwezo wa hata kumudu mlo wa nyama ya ngombe
Back
Top Bottom