Recent content by Tondwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    miaka ya 70-90 ilikua graduate anapotoka tu nje ya geti la chuo anakutana na matangazo " AJIRA! AJIRA! AJIRA! tunatafuta watu 60 " lakini sa iv mwanafunz anapo graduate anakumbana na mabango " MGANGA KUTOKA TANGA, MGANGA KUTOKA SUMBAWANGA !!!!" kaz kwel kweli !!!!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Soko la karanga Jijini Dar

    Habari zenu wana jamii !! napenda kuuliza kwa anae jua soko na bei ya karanga kwa gunia jijin dar sabu nataka kufanya iyo biashara . Natanguliza shukrani!!!!
Back
Top Bottom