Recent content by Tomtken

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

    Asante Neema. Nimefurahi kwamba unaona kiswahili changu ni kizuri. Lakini ni kweli, ninakaa ulaya, lugha yangu ya kwanza ni lugha moja zungu. Ndiyo, nataka kujifunza kiswahili, naweza kufahamu au kuandika kidogo, lakini siwezi kuzungumza hata kidogo kwa sababu nilijufunza kwa vitabu tu. ndiyo...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

    Hi ukiwe ninayetafuta ... Nitafika Dar wiki ya kwanza ya februari. Halafu nitakwenda Unguja. Ukitaka nisindikize pls niambie kwa tomtken@hotmail.com.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

    I am very sorry. I really dont understand what you write here. obviously my kiswahili is not good enough. please explain. If you think I try a trick ... No I dont. All I wrote is true and nothing is hidden.
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

    Hi Nduka. Unaweza kunipelekea barua pepe (xxx)? Asante sana.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

    Hi Najaribu kujifunza kiswahili tangu mwaka uliopita. Nakaa Ulaya. Hapa sina nafasi ya kuzungumza na mtu anayesema kiswahili kwa kufasaha. Februari ijayo, wakati wa festival Sauti za Busara, nataka kukaa Unguja kwa juma mbili au zaidi. Ninafikiria tutasoma kwa muda wa masaa mawili matatu...
Back
Top Bottom