Recent content by Tommorow or today

  1. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Nimeficha baadhi ya vipande Kwa sababu maaalumu.. Ahsante Kwa kuonesha nia ya kutaka kunisaidia.ila nimehadithia yaliyo moyoni.Kumbuka wengi hatuna watu wa kuwahadithia hasa mambo yahusuyo familia.Kitu kinachoitwa mtandao ni kikubwa..Angalia story zote za humu za haya mambo kama zinaishia mwisho!!
  2. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Sauti ipo bado sio ya kunivuruga akili..!!Ndyo maana niliweza kufanya kazi two years.
  3. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Amen...Naamini imekuwa
  4. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

  5. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Mental illness is real....mauchawi yapo yanatesa wengiiii...Chuki na husda zimejaa kwenye koo zetu Za kiafrica
  6. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Ahsante nitajitahidi ....
  7. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Haya ...karibu mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Sawa...Hiki nishasali pia.Ndyo sla yangu kuu.Ahsante nitaendelea kusali
  9. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Nimemaliza mwaya
  10. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Nimekumbuka ...nilivyokuwa natembelewa na vitu Dr mmoja aliwahi niambia...Ila nilipona Kwa mtumishi mmoja hivi..Sasa hivi anawafuasi wengi.Nilenda kujaribu na mm ile Hali iliisha yaani wadudu waliruka fyuuuu nikawaona wanapasukaa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Nimeweka my story...wale wenye mtazamo wa kiyakinifu waje na wakidhanifu.Nimeficha vingi sna.Hivyo nitaheshimu mawazo ya Kila mmoja!!Anayesema ninaumwa akili nitayaheshimu mawazo yake na Anayesema kurogwa nitayaheshimu...Sijaelezea mengi sana nikieleza nitajianika. Nimeandika ilo kutua mzgo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Wandugu sipingani na wanasayansi kuwa ni magonjwa ya akili..Ukweli usiopingika ni ugonjwa wa akili.Nami niilitumia tiba hospital...ila mara mwisho tulipoenda tuliambiwa tutafute njia nyingine pia..Kwani nilochomwa sindano ya usingizi na sikulala!! Na nilielezwa nina hofu ..Ila nikitathmini...
  13. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Sawa... soma habari nishaenda huko. nimeficha uhalisia.Nikieleza zaidi italeta uhalisia
  14. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Bado Niko kwenye illusion
  15. T

    JamiiForums Tanzania My Story..

    Hahaha... sijawahi muelewa..thoo walikuwa makabila tofauti...Tulikuwa kukutana chuo na Mangi Kila mtu na hamsini zake ..Nw ni fundi bomba..Injinia mkubwa
Back
Top Bottom