Recent content by Tom8

  1. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sure. Focus kubwa ya JWTZ kwa sasa ni sherehe za miaka 60 ya JKT. Nadhani baada ya tarehe 10 Julai, vijana wataanza kuitwa kwenda Depo.
  2. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mnadhimu mkuu jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amewataka askari wapya waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya RTS Kihangaiko kutokujihusisha na vikundi vya ushawishi wa vyama vya siasa,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii...
  3. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Si vyema sana kuuuliza maswali ya aina hii. Na wala usitegemee mtu mwenye akili timamu akakujibu kiuhalisia. Tunajua kuna tatizo la ukosefu wa ajira ila vijana si vyema kukimbilia nafasi za majeshi kwa kufuata vyeo na mishahara. Kama unapenda jeshi, tafuta nafasi upate ukachokitapata ndicho...
  4. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yeah sure. Ila vijana wasiwe na Matumaini makubwa sana wakaacha na kujaribu sehemu zingine. Nafasi ni chache.
  5. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mostly kwenye written ni taaluma yako, hata kwenye oral ni taaluma ingawa sio kwa muda mrefu. Unapimwa vitu vingi pale, kwenye taaluma unaweza ukaulizwa kiswali kimoja then unaambiwa uende
  6. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa wale mafundi, madereva na wengine wenye utaalamu usaili ni kwa vitendo zaidi.
  7. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Usaili Magereza ni oral na written kwa wenye taaluma. Na vipimo vingine kama ilivyo kawaida ya majeshi. Baadhi ya vijana wameanza leo, kesho usaili utaendelea.
  8. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna vigezo vilivyoangaliwa hadi hao vijana wakaitwa kwenye usaili. Kama mtu hajaliona jina lake si vyema akapoteza muda kwenda Dodoma. Halafu pia nafasi si nyingi. Hivyo hao vijana walioitwa wachache ndo watapata nafasi
  9. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    MT usaili bado haujafanyika na wala hakuna watu wanaofanya usaili. Wapo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha vijana watakaokua shortlisted then waitwe Dodoma, Makao Makuu kwa ajili ya usaili.
  10. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yes, mchakato wa usaili utafanyika. Mahali ni Makao makuu ya MT, Msalato, Dodoma unless kuwe na mabadiliko ya kimkakati.
  11. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    MT bado mchakato unaendelea kwa wale walioomba nafasi wenye taaluma zilizotajwa. Nadhani mwisho wa mwezi huu wa sita au mwanzoni mwezi wa saba mchakato utakamilika.
  12. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hao waliopo msata ni wenye diploma. Wenye degree wapo Monduli wanapiga kozi ya cadet.. kiujumla walikusanywa wote mwaka jana, wakaapa pale Makutupora. Wenye degree wakenda cadet (baada ya kufanya kozi fupi ya awali) then hao wa diploma wakaenda Msata. So watakapoajiriwa jeshini watafuata...
  13. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    OP Mabeyo wapo mpaka wenye shahada
  14. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sahihi. Ukiachana na wanajeshi waajiriwa wanaoenda Monduli kufanya kozi ya Uafsa jeshini. Kuna wale wanaofanya kozi fupi then wanaenda monduli moja kwa moja mfano Proffesionals (kama Madaktari na Engineers waliopo Monduli hivi sasa).
  15. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Watapigiwa simu kujilishwa utaratibu wa usahili.
Back
Top Bottom