Tollofy ni accounting package inayo msaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kwa njia rahisi zaidi.
Kwa kutunza kumbukumbu za biashara ikiwemo mauzo, matumizi, manunuzi, stock na mengine mengi.
Inamrahisishia kufanya mahesabu kwa kumtumia report ya kila siku, wiki na hata mwezi ikiwa...