Kamanda kwa mtazamo wangu naona maccm yanazidi kujikanyaga wakisahau kuwa CDM ndio chama makini katika kuaandaa mikakati ya ushindi. Kiongozi naomba unisaidie kama naweza kupata video yake ya tukio zima la harambee mkuu sikufanikiwa kuangalia.
Mkuu huyo jamaa anajua kuwa mzee Jumbe ni muumini wa serikali 3 ila kwakuwa macccm mengi yamejitoa ufahamu mpaka kufikia kusahau historia yatupasa tuya samehe bure macccm ni majangaaaaaaaaaaaa
Mimi binafsi siipendi ccm kama kinye....... lakini siungi mkono mbinu zinazo tumika na wana ccm kumkashifu huyu mzee mfano ni huyu makondaaaa ananiudhi sana kwani yule mzee ni kama baba yake kama sio babu yake. Lakini pia najiuliza mtoa maada uelewake mdogo sana kwani tangu nimekuwa mkubwa...
Kusema kweli Mama yetu huyu hayupo kwenye njia ambayo watanzania wengi nikiwamo mimi tuliitalajia mfano pia kuhusu mjimpya wa kigamboni sasa kaja na singo kwamba kila mwana nchi atakatwa 10% ya fidia yake ili anunue hisa za mji utakao jengwa. Najua yeye ni Pro. ila mimi na uelewa wangu huu...
Kiongozi nimetoa taarifa hii kwa Mama Tibaijuka kwa kuamini yeye ni waziri mwenye dhamana hiyo ila kuhusu urais naomba usimuoteshe mama wa watu ndoto ya mchana. Kama alikuwa ana ndoto hiyo amulaumu sana mama Anne Makinda kwani ndiye kafunga milango ya akina mama wengi kupewa nafasi za juu baada...
kweli kabisa mkuu na sasa wamekuja na njia mbada wanauzia watu maeneo ya mabonde na wazi na kugonga mihuri feki ya mitaa mingine kama kibonde maji ndio tunaendeleea kufuatilia kuangalia ni kwa kiasi gani muhuli wa mtaa mwingine utumike.
KUUZWA KWA MAENEO YA WAZI
Kwanza natanguliza hesima zangu za pekee kwako wewe mama yangu mpiganaji.
Mh. Kumekuwa na malalamiko ya mda mlefu kuhusu viongozi wa mitaa hiyo kuhusu kuhusika katika utapeli wa kuwauzia watu maeneo ya wazi katika viwanja vya kupima vya serikali. Wenyeviti hawa wamekuwa...
KUUZWA KWA MAENEO YA WAZI
Kwanza natanguliza hesima zangu za pekee kwako wewe mama yangu mpiganaji.
Mh. Kumekuwa na malalamiko ya mda mlefu kuhusu viongozi wa mitaa hiyo kuhusu kuhusika katika utapeli wa kuwauzia watu maeneo ya wazi katika viwanja vya kupima vya serikali. Wenyeviti hawa wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.