Ninadhani M-PESA na Airtel Money bado hawajawezesha Mobile Money APIs kuwa publicly-accessible kama ilivyo kwa TigoPesa. Vodacom wanaruhusu kufikia huduma za M-PESA kwa kukuanganisha katika VPN yao pekee. Namna rahisi na ya haraka (japo inaweza kuwa gharama zaidi kibiashara) ni kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.