sio kiivyo best coz peku nayo sio nzur kivile unaweza kubeba mtoto juu mtoto..yaani hapo labda kutumia kinga ya kuvaa mipira afadhali kidogo kuliko njia zingne manake naona hali mbaya huko tuelekeako watanzania jamaan.
Hakuna sehemu inayoonesha katiba ni ya CCM..kwa jins nilivyoelewa mimi hayo ni mawazo ya chama tu lakin kuna mchango pia wa wananchi na watakubaliana na maamuzi yatakayotolewa na wananchi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.