yes, infact, nimeandika jinsi ya kutumia mwenzake ChatGPT inayoitwa MidJourney AI kutengenza picha kutumia A.I. Refer hapa Jinsi ya kutumia Midjourney AI kutengeneza picha
Jinsi ya kutumia tovuti ya #midjourney kutengeneza picha za hatari:
1. Jisajili kwenye Discord.com. Hakikisha una verify email yako.
2. Ingia midjourney.com alafu utengeneze account yako kwenye option ya register.
3. Ingia kwenye #newcomer rooms.
4. Ukitaka kutengeneza picha, tumia command...
Chanzo: Mwananchi, Tani 7,400 za mahindi zakosa soko (2014)
Nilikuwa Kilombero, na kama masihara, gunia la mchele lilikuwa linamwagwa mbele ya uso wangu jalalani. Nisingeamini ningehadithiwa na mtu mwingine. Mazao mbalimbali yaliyokuwa yanaelekea masokoni yalitekelezwa pembezoni mwa barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.