Habari za wakati huu ndugu wa somaji,
Uhu ni muendelezo wenye ufafanuzi wa andiko langu la kwanza nililo lipa jina la BungT, ikiwa na maana ya Business of everything Tanzania,
Andiko langu ni ushauli wangu kwa serikari yetu, kuusu wizara yake ya Maendeleo asa maendeleo ya vijana, andiko hili si...
Natanguliza samahani kwa uwandishi wangu wengu wenye lafudhi ya mkoani tabora pia samahani kwa uwandishi mbovu kulingana na elimu yangu kuwa dogo.
Kwa jina wanalo tumia kunita ni Timotheo kiss mtandaoni ila jina kamili ni Timotheo A. Mongo,
Mawazo yangu katika shindano ili pamoja nauwakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.